Alhamisi, 7 Julai 2016

Jumatano, 22 Juni 2016

CHRISTIANS FORUM: THE DUTY OF A WIFE IN CHRISTIAN MARRIAGE

CHRISTIANS FORUM: THE DUTY OF A WIFE IN CHRISTIAN MARRIAGE: GREAT!!!!GREAT!!!!! MESSAGE!!!! THE ONE RESPONSIBLE FOR THE GOOD MARRIAGE IS WIFE. IT IS TIME TO FULFILL YOUR DREAMS OF HAVING THE ...

HAPPINESS IN MERRAGE WIFE IS THE SOURCE.




IT IS TIME TO FULFILL YOUR DREAMS OF HAVING THE HAPPY AND SUCCESSFUL MARRIAGE
 Today's challenges and pressures can make fulfilling marriage seen like an impossible dream. yet God delights in doing the impossible if only we would ask!
wife u have to pray for your husband {to be} concerning these key areas:
  • His Spiritual walk
  • His Emotions 
  • His health and physical protection
  • His security in work and finances
  • His role as a father, leader, and decision -maker.
  • His faith and his future
 Wake up now women your the source for the development of your marriage Psalm 68:11 "The Lord gave the word: great was the company of those that published it."
BE BLESSED By Priest Melchizedek Pokeaeli
GREAT!!!!GREAT!!!!! MESSAGE!!!! THE ONE RESPONSEBLE FOR THE GOOD MARRIAGE IS WIFE.

THE DUTY OF A WIFE IN CHRISTIAN MARRIAGE



GREAT!!!!GREAT!!!!! MESSAGE!!!! THE ONE RESPONSIBLE FOR THE GOOD MARRIAGE IS WIFE.
IT IS TIME TO FULFILL YOUR DREAMS OF HAVING THE HAPPY AND SUCCESSFUL MARRIAGE
 Today's challenges and pressures can make fulfilling marriage seen like an impossible dream. yet God delights in doing the impossible if only we would ask!
wife u have to pray for your husband {to be} concerning these key areas:
  • His Spiritual walk
  • His Emotions 
  • His health and physical protection
  • His security in work and finances
  • His role as a father, leader, and decision -maker.
  • His faith and his future
 Wake up now women your the source for the development of your marriage Psalm 68:11 "The Lord gave the word: great was the company of those that published it."

BE BLESSED By Priest Melchizedek Pokeaeli

Jumanne, 14 Juni 2016

MAANA YA MAOMBI - MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI

MAOMBI: Ni njia pekee aliyopewa Mwanadamu, ambayo kwayo anaweza kuzungumza na Mungu wake na kumweleza lolote naye akamsikiliza. Iwe shukrani au mahitaji yake pia mahitaji ya wengine.

Maombi ni wito; kwa  Mkristo kutoka kwa Mungu mwenyewe. Mungu anawaita wakristo kwa jambo maalumu Mungu anataka walitende; kama Mungu anasema katika Neno lake "Niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua" (Yer 33:3). Mungu anatoa wito kwa wanadamu wote kumwita wakati wowote wa shida na wa raha naye Mungu atamwoshesha mambo makubwa na Magumu asiyoyajua. Kunakuitwa na Mungu kwaajili ya mapenzi yake ni kazi ya wanadamu kuitikia sauti ya Mungu. Katika Neno hilo hapo juu Mungu anataka wanadamu wamwite ili awasaidie katika shida walizonazo. Kwa kawaida wanadamu wanakutana na mambo makubwa na magumu katika maisha yao; suluhisho la mambo hayo ni maombi pekee.Mungu pia anamwambia mwanadamu "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" (Mathayo 11:28).  Masumbuko yote na mizigo yote wanadamu  tunayopitia utatuzi wake ni kwenye maombi. Hakuna pengine tunapoweza kupata pumziko zaidi ya kuingia kwenye maombi. Mungu anatuita akisema twende kwake naye atatupumzisha. Tukimbilie kwake naye atatufuta machozi yetu.
Maombi ni njia pekee ya kupeleka haja zetu mbele za Mungu badala ya kuwaambia wanadamu wenzetu. Wanadamu wenzetu tunapowaeleza mambo yetu wanaweza wakatutukana wakatusimanga au kutusema vibaya piaa kutusengenya. Pia msaada wa wanadamu una mwisho na lakini Msaada wa Mungu hauna Mwisho. Mungu anasema "Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.(Isaya 43:26)

UMUHIMU WA MAOMBI:Maombi ni kitu chema katika maisha ya Mkristo. Mkristo unapaswa kudumu wakati wote katika Maombi. Maombi yanatuweka karibu na Mungu wetu kwasababu, wakati wote tunakuwa tunazungumza naye. Mwanadamu bila maombi hawezi kufanikiwa. Mfano mdogo ni Mtoto kwa wazazi wake, mtoto huyu akihitaji kitu kwa wazazi wake ni lazima aombe tena kwa busara ndiyo apate kile anachokiomba. Maombi yanatuwezesha kutenda mambo makubwa ambayo hayawezekani kwa yule asiiyeomba maombi yanarejesha na kuimarisha uhusiano wetu na Mungu kila iitwapo leo. Maombi yanonyesha jinsi tunavyomthamini Mungu aliyetuumba na jinsi tunavyomtegemea yeye tu(Zab.115:1). Maombi yanatuimarisha KIROHO. Musa alipokuwa ametoka katika maombi watu wote waliomwona waliona uso wake unang'aa pia kwa Yesu Kristo vivyo hivyo alipokuwa kwenye maombi alibadilika uso nao ulikuwa unang'aa. Tena Maombi hufariji na kutia moyo na kurejesha matumaini yaliyokuwa yamepotea. 

HASARA ZA KUTOKUOMBA: Bila maombi huwezi kufanikiwa katika maisha huwezi kusonga mbele na pia hatua ya kiuchumi uliyo nayo utaiona ipo kawaida ila ni mbinu ya shetani ya kukushambulia usiweze kujua kwamba anakushambulia. Kama ukijua kwamba anakushambulia utaacha kulala utakesha kwaajili ya kuomba. Hutakataa tena maombi wala kuwaona wale wanaoomba kwamba wanapoteza Muda katika maombi ila utatamani na wewe ungekuwa na viwango vya maombi kama vyao pia ungeongeza bidii na kumsihi Roho Mtakatifu akupe uwezo wakuzidi kudumu katika maombi bila kukoma; Kama Neno la Mungu linavyosema "Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya;+ wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.+" (Isa 62:6)

Mpendwa somo hili linakuhusu wewe amua sasa na kuendelea kufuatilia blog yangu hii ya CHRISTIANS FORUM.   christiansforum1.blogspot.com  upate mwendelezo wa somo hili. 
cha Muhimu ni kuliweka katika matendo somo hili. BARIKIWA NA BWANA. 
By Priest Melchzedek P. Pokeaeli.
contactcts: jonson.mwanga@yahoo.com & johnsonmwanga053@gmail.com
ISAYA 54:17 "KILA SILAHA ITAKAYOFANYIKA JUU YAKO HAITAFANIKIWA NA KILA ULIMI UTAKAOINUKA JUU YAKO KATIKA HUKUMU UTAUHESABU KUWA MKOSA. HUU NDIO URITHI WA WATUMISHI WA BWANA NA HAKI YANGU INAYOTROKA KWANGU, ASEMA BWANA."
MUNGU NI MWEMA. YU NAMI.
AMEN