Naomba kujazia ktk mengi mazuri yaliyozungumzwa
=>jinsi gani au njia gani kwa vijana Wa Kike/ au Wa kiume kumpata mwenza Wa maisha?
Nimerudia swali makusudi ili niweze kueleweka zaidi.
1. WAKATI WA BWANA.
2. USIMPATE MWENZA NJE YA UWEPO WA MUNGU ILA KTK UWEPO WA MUNGU
3. NDOA NI MPANGO WA MUNGU NA MUNGU NDIYE MHUSIKA MKUU KATIKA KUTUUNGANISHA
1. *WAKATI WA BWANA* Mwanzo 2:18
Bwana akaona si vyema HUYU mtu awe peke yake akamfamyia msaidizi.
KUMBUKA kabla ya Mungu kusema Maneno haya, tayari Adamu aliumbwa Na alikuwa tayari amekwisha anza kuitenda kazi aliyopewa Na Mungu. (Hapa pia tunaona mke haikuwa sababu ya Adamu kuumbwa Adamu aliumbwa ili aitende kazi ya Mungu. Hivyo mwenza alikuja kama msaidizi katika kutimiza malengo Na makusudi Ya Mungu yeye kuumbwa hapa ulimwenguni.)
π embu kidogo turudi kwenye point hiihii ya kwanza. WAKATIπ€
Wakati ukifika Wa wewe kuolewa au kuoa hakika utaoa.
Tambua _"Mambo yote yamefungwa katika wakati''_
Mfalme sulemani anasema. _"Enyi Binti za Yerusalemu msiyachochee mapenzi hata yatakapokuja yenyewe''_π♂
=>Kutokea kuumbwa kwa Adamu hadi Eva kuumbwa kuna wakati mrefu kidogo. Ambao wakati wote huo Adamu alikuwa _"Anailima Na Kuitunza Bustani''_ mwanzo 2:15
Hivyo kitu chakwanza
*jiulize je huu ndiyo wakati sahihi Wa Mimi kuoa/kuolewa?*
2.Usimpate Mwenza nje ya UWEPO Wa Mungu.
Mazingira mliyokutana yanachangia kuwa Na ndoa iliyojaa majuto. Kama mmekutana kwenye uzinzi,ulevi, nk. Haya ni maxingira magumu mno ktk ndoa nyingi. Na ndoa hizi huishia kuvunjika au magomvi yasiyoisha.
Mfano Wa mazingira mazuri ya kukutana Na mwenza wako tunayaona kwa baba yetu Adamu. Mbele ya Mungu anakutana Na Mwenzi wake. Mungu anamletea (Mke mwema Toka kwa Bwana). Adamu anaamka usingizini Na kusema HUYU ni nyama katika nyama zangu mfupa ktk mifupa yangu (Mwanamke).
Aminaaa.
Hakika inapendeza wewe uliyedumu ktk kujitunza na unayehitaji kumpata mwenza wako Wa Maisha ukampata huyo mwenza kanisani. Au popote mkijishughulisha Na hbr au kazi iliyo halali mbele za Mungu.
Nimesema kazi iliyo halali kwa makusudi kabisa wala sijakosea
Maana kukutana Na mwenza wako ktk UWEPO WA MUNGU sio tu Kanisani au Kwe kwaya nk. Ila hata pengine mkiwa mnafanya shughuli za kila siku ambazo zampendeza Mungu.
MF.Rebecca alimpata mwenza kisimani alipoenda kuchota maji.π€
Sio eti mpo kilabuni mnakunywa pombe, au kwenye madangulo π€❗✖
3. Ndoa ni mpango Wa Mungu naye ndiye anayehusika kutuunganisha.
Ktk maeneo ambayo Mungu anahusika mwenyewe mojawapo ni hili.
Sio kwaakili zetu tunaweza kumpata mke/ Mme mwema Na anayestahili kuwa mwenzi wako Wa maisha.
Mungu NDIYE aliye husika kuona uhitaji Wa Adamu.
Hata kabla Adamu hajaona kwamba anauhitaji Mungu alimwona. Na Mara moja akaingia kazini kumfanyia msaidizi Wa kufanana naye....soma *Mwanzo 2:18*
Uhitaji Wa kupata msaidizi Bosi NDIYE ajuaye. Kwamba kazi Na jukumu alilokupa unahitaji msaidizi au LA!!!
Ndiyo
Narudia tena *Uhitaji Wa kupata msaidizi Bosi NDIYE ajuaye. Kwamba kazi Na jukumu alilokupa unahitaji msaidizi au LA!!!*
Tutambue hakika ya kwamba tumekuja Duniani tukiwa tumebeba kusudi la Mungu ndani yetu.
Na ikimpendeza Mungu hatuondoki hadi tulitimize.
Sasa hilo kusudi ndilo litaamua wewe uwe Na msaidizi au usiwe nae.
Na kama ni kuwa Na msaidizi awe Wa namna gani.
Mungu akasema natumfanyie msaidizi Wa *kufanana naye*
Maana yake atakayeeweza kuendana nawe Na kukusaidia kulibeba hilo kusudi la Mungu lililopo ndani yako.
Na hapa tunaona wengine wanaishia maisha yao yote bila kuwa Na mwenza hata aombeje hawezi pata.
Mfano Mkubwa ni kwa Yesu Kristo Na Yohana Mbatizaji.
Hawa wote wawili walibeba kusudi maalumu Na kwa wakati Maalumu. Na ilipofika muda Wa kazi umekamilika waliondoka zao.
Bado naona hujanielewa vizuri.
Embu hujawahi kutana Na mstari huu usemao
_"" Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa''_
Pia _"Sisi sote tuu bibi arusi Wa Bwana Yesu Kristo''_
Hapo sasa unaanza kuelewa.
Ni hivi kuoa au kuolewa ni neema Na mpango kamili Wa Mungu.
Kama umepangiwa kuoa au kuolewa haina haja ya kukimbilia au kukata tamaa utafika wakati alioupanga Bwana nawe utakuwa Na mwenza.
Pia kwa wewe ambae huna mwenza sio kwamba Mungu amekuacha au wewe ni mwenye dhambi sana kuliko mwengine la. Wewe ni Wa dhamani sana mbele za Mungu.
Na kwa wewe unayetafuta tambua kwamba unapaswa kutenga muda mwingi kuutafuta USO Wa Mungu Na kumwomba juu ya suala hilo.
Mungu awabariki mno.
Imeandaliwa Na Mtumishi Johnson Pokeaeli
Alhamisi, 29 Novemba 2018
Jumapili, 25 Novemba 2018
Jumapili, 11 Novemba 2018
SABATO
[11/10, 21:22] JHC: Tafuta Habari Njema Maswali muhimu sana Maswali yanayo ulizwa zaidi kila mara
Ni siku gani ya sabato, Jumamosi au Jumapili? Wakristo wastahili kuitunza hii siku?
Swali: "Ni siku gani ya sabato, Jumamosi au Jumapili? Wakristo wastahili kuitunza hii siku?"
Jibu: Kila mara husemwa kuwa “Mungu ndiye alianzisha sabato katika shamba la Edeni” kwa sababu ya uhusiano kati ya Sabato na uumbaji katika Kutoka 20:11. ingawa starehe ya Mungu siku ya Sabato (Mwanzo 2:3) iliangazia sheria ya Sabato iliyokua inakuja, hakuna maelezo yoyote ya Bibilia juu ya Sabato kwa watoto wa Israeli kabla watoke Misri. Hakuna maandiko katika Bibilia au dondoo lolote linaloonyesha kuwa Adamu na Musa waliitunza Sabato.
Neno la Mungu laiweka wazi kuwa kuitunza Sabato ilikua ishara maalumu kati ya Mungu na Waisraeli: “Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli watishika sabato, kuiangalia sana hiyo sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele. Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, akastarehe kwa siku ya saba na kupumzika” (Kutoka 31: 16-16).
Katika Kumbukumbu La Torati 5, Musa anazirudia amri kumi kwa kizazi kingine cha Israeli. Hapa baada ya kuamrisha jinsi ya kuitunza sabato katika aya ya 12-14, Musa anatoa sababu ya sabato ambayo sabato ilipewa kwa taifa la Israeli: “Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na akuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo BWANA Mungu wako, alikuamuru uishike sabato” (Kumbukumbu La Torati 5:15).
Lengo la Mungu kupeana sabato kwa Waisraeli haikuwa kukumbuka uumbaji, bali waukumbuke utumwa wa Wamisri na kule kuokolewa na Bwana. Kumbuka yanayohitajika kwa kuitunza sabato: mtu aliyewekwa chini ya hiyo sheria hangeweza kutoka kwa boma yake (Kutoka 16:29), hangewakisha moto (Kutoka 35:3), angeruhusu mtu yeyote kufanya kazi (Kumbukumbu La Torati 5:14). Mtu mwenye angivunja shreria ya sabato angeuwawa (Kutoka 31:15; Hesabu 15:32-35).
Uchunganusi wa ukurasa wa Agano Jipya watuonyesha mambo mane muimu: 1) Popote Kristo alionekena baada ya kufufuka kwake na siku zimetajwa, kila wakati ni siku ya kwanza ya Juma (Mathayo 28:1,9, 10; Mariko 16:9; Luka 24:1,13,15; Yohana 20:19, 26). 2) Wakati pekee sabato imetajwa kutoka kwa kitabu cha Matendo ya Mitume hadi ufunuo ni kwa sababu ya lengo la uinjilisti kwa Wayahudi kwenye Masinagogi (Matendo Ya Mitume 13-18). Paulo aliandika, “Nilikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi” (1 Wakorintho 9:20). Paulo hakuenda kaitka Masinagogi kuwa na ushirika na kuwajenga waumini, bali alienda ili awathibitishie injili na kuwaokoa walikuwa wamepotea. 3) Mara moja Paulo anasema, “tangu sasa nitakwenda kwa watu wa Mataifa” (Matendo Ya Mitume 18:6), sabato tena haitajwi kamwe. Na 4) Badala ya kupendekeza kuwa waitunze siku ya sabato, sehemu nyingine ya Agano Jipya iliyobaki yasema kinyume ( ikijumulisha sehemu ya tatu ilioachwa nche hapo juu, inapatika katika Wakolosai 2:16).
Kwa kuingalia hoja ya nne kwa makini, tutafumbua kwamba, hakuna jukumu lolote la kuitunza sabato kwa waumini wa Agano Jipya. Pia tutaonyesha kuwa dhana ya Jumapili “Sabato ya Wakristo” si ya kibibilia. Vile imejadiliwa hapo juu, hakuna wakati sabato imetajwa baada ya Paulo kuanza kuangazia Mataifa, “Basi mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo” (Wakolosai 2:16-17). Sabato ya Kiyahudi ilifutiliwa msalabani hamali ambapo Kristo “Akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki” (Wakolosai 2:14).
Wazo hili limerudiwa zaidi ya mara moja katika Agano Jipya: “Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwinginie aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe. Yeye aadhimishaye siku huiadhimisha kwa Bwana” (Warumi 14:5-6a). “Bali sasa mkiisha kumjua Mungu, au zaidi kujulikana na Mungu, kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena? Mnashika siku, na miezi, na nyaktati, na miaka” (Wagalatia 4:9-10).
Bali wengine wanadai kuwa agizo la Constantino katika mwaka wa 321 A.D (Baada ya Yesu kuzaliwa) ilibadilisha sabato kutoka Jumamosi hadi Jumapili. Ni siku gani kanisa la kwanza lilikutana kwa ibada? Bibilia haitaji mkusanyiko wowote wa sabato (Jumamosi) kwa waumini kwa minajili ya ushirika au ibada. Ingawa, kuna kurasa wazi zinazoitaja siku ya kwanza ya juma. Kwa mfano Matendo Ya Mitume 20:7 ambayo yasema, “Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokutana ili kumega mkate.” Katika 1 Wakorintho 16:2 Paulo anawasihi Wakristo wa Korintho, “Siku ya kwanza ya juma kila mtu kwenu na aweke akiba kwake, kwa kadri ya kufanikiwa kwake.” Jinsi Paulo anayataja haya matoleo kuwa “huduma” katika 2 Wakorintho 9:12, haya matoleo lazima yamehuzishwa na ibada ya siku ya Jumapili ya Wakristo. Kiistoria siku ya Jumapili, bali si Jumamosi ilikuwa siku iliyokubalika kwa Wakristo katika kanisa na matukio yao yaweza kufuatwa hadi wakati wa kanisa la kwanza.
Sabato ilipeanwa kwa Waisraeli, si kanisa. Sabato bado ingali siku ya Jumamosi si Jumapili na haijawai badilishwa. Bali sabato ni sehemu ya sheria ya Agano La Kale na Wakristo wako huru kutoka kwa mkono wa sheria (Wagalatia 4:1-26; Warumi 6:14). Wakristo hawitakiwi kuitunza sabato hata kama iko siku ya Jumamosi au Jumapili. Siku ya kwanza ya juma, siku ya Bwana (Ufunuo 1:10) za sherekea kiumbe kipya Kristo aliyefufuka akiwa kiongozi wetu. Hatujaamrishwa kiufuata sheria ya Musa ya sabato ya kustarehe, bali tuko huru kumfuata Kristo aliyefufuka. Mtume Paulo alisema kwamba kila mkristo amue mweneyewe kama ataifuata sabato, “Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe” (Warumi 14:5). Twastahili kumwabudu Mungu kila siku, si Jumamosi pekee or Jumapili pekee.
English
Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Jua jinsi ya ...
kutumia milele na Mungu
Jifunze zaidi
Pata msamaha kutoka kwa Mungu
Jifunze zaidi
Ubaharia
Tafuta
Habari Njema
Maswali muhimu sana
Maswali yanayo ulizwa zaidi kila mara
Tafuta
Habari Njema
Maswali muhimu sana
Maswali yanayo ulizwa zaidi kila mara
© Copyright 2002-2018 Got Questions Ministries. Haki zote zimehifadhiwa.
[11/10, 21:31] Melchizedek Pokeaeli (TANGA ADMIN_JHC): Yesu mdhamini wa agano jipya, ndiye aliyekuwa kielelezo cha kuivunja sabato na kutoa ufafanuzi kuwa "Mwanadamu hakuumbwa kwa ajili ya sabato (Marko 2:27:28). Kama ambavyo Ibrahim hakuagizwa kushika sabato, ndivyo nasi leo hatukuagizwa kushika sabato. Katika Yoh. 19:16-19 kuna mtu aliyemuuliza Yesu afanye jambo gani ema ili apate uzima wa milele, lakini alielezwa ashike sheria zingine tu lakini siyo sabato. Watu wanaong’ang’ania kushika sabato leo wameitwa wanafunzi wa Musa siyo wa Kristo (Yoh. 9:28).
Sasa baada ya sabato kukomeshwa ni siku gani inayofaa kuabudu? Biblia inatoa jibu kuwa ni siku yoyote (Rumi 14:5, Gal. 4:9-10). Ni siku yoyote kama ilivyokuwa kwa Adam, Nuhu na Ibrahim. Hivyo anayeabudu Ijumaa au Jumamosi ni sawa, isipokuwa asiwe na dhana kuwa siku anayoabudu ndiyo Mwenyezi Mungu anayotaka aabudiwe siku zote sasa ni sawa (Kolosai 2:16).
Baada ya Mwenyezi Mungu kutuweka huru kuabudu siku yoyote kama ilivyokuwa kwa Ibrahim, Jumapili imechaguliwa na Wakristo kuwa ya kuabudu kutokana na umuhimu wake. Jumapili ni siku ya kumtolea Mungu malimbuko ya mavuno (Law. 23:10). Jumapili ni siku ya Bwana Yesu kushinda mauti (Yoh. 20:1-18). Jumapili ni siku Yesu kuwatokea wanafunzi wake kwa mara ya kwanza toka afufuke (Yoh. 20:19-20). Jumapili ni siku Roho Mtakatifu alipowatokea wanafunzi wa Yesu (Matendo 2:1). Jumapili ni siku ya Kanisa la kwanza lilipoanza mahubiri (Matendo 2:14-41). Jumapili ni siku ya waumini kukutana na kumega mkate (Matendo 20:7).
Hizi ndizo sababu za Jumapili kuwa siku ya kuabudu, lakini pia siku zingine zafaa kuabudu lakini hazina uzito sana ikilinganishwa na Jumapili hasa baada ya Mwenyezi Mungu kukomesha sabato na sikukuu za kuangalia mwezi kama wafanyavyo Waislamu ambazo zimekomeshwa hazipo.

TUNZA SANA UAMINIFU WAKO KWA MUNGU
Leo nimetoka na hiki ibadani.
✍πΌTUNZA HUDUMA YAKO NA KUWA MWAMINIFU
Luka 25:13-30
13 Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa..........
Huu ni mfano juu ya talanta(talents) zilizogawanywa kwa watumwa ambao ndio sisi.
Ni kweli kama tulivyo viungo kila mmoja kwa mwenziwe tunatakiwa tuuhifadhi utumishi wetu kwa jambo lolote usiharibiwe bali huduma na karama na vipawa vikazae mara dufu.
Ukisoma vizuri pale anasema mwenye tano alileta kumi na mwenye mbili alileta nne Bwana wao akafurahi na kuwaambia waingie rahani.
Je uko tayari kuingia rahani kwa kuwa mwaminifu ???
Yule aliyepewa moja akaifukia kilichomkuta akanyanganywa hata kile kidogo na akatupwa nje mateso makali kilio na kisaga meno ikawa mshahara wake kwa sababu hakuwa mwaminifu na aliona kama hakuna faida bora kuifukia huduma yake.
Chagua sasa kuwa mwaminifu hata kufa ili taji yako ukaipate isiwe ndoto na talanta hizo zina hesabu yake mwisho kuwa mwaminifu isionekane hasaraa bali faida.
Kuna watu wanahitaji hata kuona tu unashauri vizuri nao wakavutwa kwa Yesu mshauri wa ajabu.
Ameen.
Tarehe 11/11/2018 kutoka kanisani Na Mtumishi Dalton

SABATO MAANA YAKE
SABATO KATIKA AGANO LA KALE
Neno sabato lina maana ya mapumziko au siku ya mapumziko..Asili ys mapumziko (Sabato) hayo tunayapata ktk kitabu cha mwanzo,, Mungu alipomaliza kazi ya uumbaji soma (mwa 2:1-3)
Kwa Mujibu wa mistari huyo π Mungu mwenyewe alipumzika. Alihitaji siku moja ya kustarehe baada ya kazi yake ya uumbaji iliyochukua siku sita. Kutokana na umuhimu wa kupumzika kwake akaitakasa akaitakasa siku hiyo ya saba.....Neno "Takasa " linamaana ya kuweka wakfu au kutenga kwajili ya matumizi matakatifu, yaani matumizi maalumu yaliyokusudiwa na Mungu, au kutengwa kwaajili ya Mungu.
Kutoks 16 23-29. Watu wa Mungu waisrael, waliagizwa kwa mara ya kwanza kupumzika siku ya sabato wakupokuwa ktk bara la Sini, ilikuwa kati ya Elimu na Sinai. Kutokana na manung'uniko yao kwa Musa na kwa Haruni kwa sababu ya njaa, Mungu aliwapa chakula kutika mbinguni kilichoitwa Mana.
Aliwataka wakiokote chakula hicho kilichotoka Mbinguni, kila siku.
Akiwataka wasiwe wanaikota chakula cha zaidi ya siku moja. Aliwaonya wakifanya hivyo, chakula chao kingeoza.
Hapo ndipo pia aliwapa amri wasiokote chakula hicho siku ya Sabato kwa maana nisiku takatifu ya Bwana.
Baada ya muda mfupi baada ya hapo , juu ya mlima wa Sinai, Mungu akampa Musa Amri kumi kwaajili ya wana wa Israel, Ikiwemo Amri ya kuitakasa Sabato. "Ikumbuke siku ya Bwana(sabato) na kuitakasa"
SABATO ILIVYOADHIMISHWA KATIKA AGANO LA KALE.
Siku ya Sabato iliadhimishwa kwa njia mbili katika Agano la Kale
Njia ya kwanza :- ilikuwa kuacha kufanya kazi ili kupumzika (Kut 20:8-11) kazi zilizozuiliwa kufanywa zilikuwa zote , ilikuwa pamoja na kutowasha moto ktk nyumba zao (kut 35:3).
Kukusanya kuni (Hes 15:32). Kubeba mizigo (Yer 17:21) kusafiri (Kut 16:29).
nakufanya biashara(Amo 8:5) .Hii ndio sababu Nehamia aliagiza malango ya Yerusalem yafungwe siku ya Sabato ilikutoruhusu wafanya biashara wa nje kuingia ,wala wale wa ndani kutoka siku hiyo(Neh 10:31, 13:15, 19)
Kutoishika sabato lilikuwa kosa kubwa lililosababisha kuuawa kwa anayeasi soma (Kuto 31:14-15, kuto 35:2)
Njia ya pili:-
Njia ya pili ya kuiadhimisha siku ya sabato ilikuwa ya ibada. Kwakawaida waisrael waliagizwa kutoa sadaka ya kuteketezwa , ambayo ilikuwa mwana kondooo wa mwaka mmoja ,mmoja asubuhi na mwana kondoo mwengine jioni(Hes 28:4)
Aidha kwa siku hiyo waliweka mikate mipya ya mahali patakatifu hekaluni (Law 24:8) mikate hiyo ilikuwa kumi na miwili iliopangwa juu ya meza iloitwa meza ya onyesho. Mikate hiyo ililiwa na makuhani tu,, siku ya sabato, ,matendohayo yalikuwa ya Ibada mbele za Mungu
SABATO KATIKA AGANO JIPYA
π Yesu na Sabato:- Yesu alizaliwa chini ya sheria (Gal 4:4). Alizaliwa ktk kipindi ambacho watu wa Mungu walihusiana na Mungu kwa taratibu za Agano la Kale :- wazazi wake walitoa sadaka kama torati ilivyoagiza, alitahiriwa siku ya nane alihudhuria sikukuu zao za kiyahudi, ikiwemo sikukuu ya pasaka,aliabudu ktk sinagogi na ktk hekalu ,alishika Sabato
Leo hii hakuna anayehusiana na Mungu kwa kufuata desturi au taratibu za Agano la kale .Hata wasabato wa leo hawatahiri watoto wao siku ya nane,, hawaendi Yerusalem kuhudhuria sikukuu za kiyahudi ,hawaabudu ktk masinagogi, na hawatoi sadaka za kuteketezwa kama walivyofanya wayahudi, ambao ndio waliokuwa watu wa Mungu ktk Agano la Kale.. Swali ni kwa nini?
Ni kwasababu" Hata ulipowadia utimilifu wa wakati ,Mungu alimtuma mwanae ambaye alizaliwa na Mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupokee hali ya kuwa wana wa Mungu(Gal 4:4,5)
Hata hivyo yesu hakija kuitangua torati (Mt.5:17)
JUMAPILI:-SIKU YA IBADA KATIKA AGANO JIPYA
Nilini wakristo walipoanza kuabudu siku ya kwanza ya juma, yaani Jumapili badala ya jumamosi?
Unabii ktk zaburi 118:22-24 unafafanuliwa ktk mahubiri ya Petro ktk matendo ya mitume 4:10-11 kuhusu Yesu.
Kwa kufufuka kwake amekuwa jiwe kuu la pembeni ,siku ya kufufuka kwake ndio iliotajwa kuwa ni "siku aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia ",
Siku ya Sabato yaani (jumamosi) baada ya Yesu kufa kwake , Yesu Kristo alikuwa kaburini. Siku ya kwanza ya juma (jumapili) Yesu alifufuka kutoka kwa wafu! Haleluyaaa !!!!!! . kila alipojidhihirisha kwa wanafunzi wake ilikuwa ni ktk siku hiyo (mt 28:1-9, Yn 20:19, Lk 24:13-45, Yh 20:14-17 , kuwatokea hivyo mara kwa mara ktk siku za jumapili , haikuwa inatokea kwa bahati. Ilikusudiwa kuwafundisha kwamba siku hiyo, ya kufufuka Bwana ,kwa wakristo ni muhimu mno kwetu.
Katika siku hiyo ya kwanza ya juma , Yesu aliwavuvia wanafunzi wake wapokee Roho mtakatifu(Yh 20:19-22) Na ktika siku hiyo , siku yapentekoste Roho mtakatifu akawajia kwa mara ya kwanza ili kukaa ndani yao hata milele (mdo2:1-4) asomaye na afahamu . By W. S

Jumanne, 6 Novemba 2018
SABABU ZINAZOFANYA KUTOJIBIWA MAOMBI YAKO

Tuliangalia sababu tano kwa kuzipitia tu zilikuwa hizi,
1. *KUTOMSAMEHE MTU MOYONI MWAKO*
Marko 11:25,26
2. *KUTOKUWA NA UHAKIKA WA IMANI YAKO KWA MUNGU JUU YA UNACHOKIOMBA*
Yakobo 1:5-7
3. *KUKATA TAMAA NA KUKOSA MSUKUMO WA KUOMBA NDANI YAKO*
Luka 18:1,7,8
4. *MATUMIZI MABAYA YA VITU UPEWAVYO NA MUNGU*
Yakobo 4:3
5. *JIBU LA MAOMBI YAKO KUFUNGIWA NDANI YA WAKATI ULIOAMRIWA*
Danieli 9:24
Unaeza kupitia na maandiko hayo kwa maelezo zaidi.
Leo tunasonga mbele na sababu zingine tano zaidi zinazofanya usijibiwe maombi yako.
Semina hii ni kwaajii yako
Twende pamoja.
[11/3, 19:11] Humphrey Mrema Arusha JHC ADMIN: SABABU YA SITA
6⃣ *HALI YAKO YA KIROHO KUWA CHINI AU NDOGO KULINGANA NA HITAJI LAKO KWA MUNGU.*
Wagalatia 4:1
. Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, angawa ni bwana wa yote;
Wagalatia 4:2
. bali yu chini ya mawakili na watunzaji, hata wakati uliokwisha kuamriwa na baba.
Je! Huwa unakimbilia nyama wakati maziwa hujanywa? (Ebrania 5:13)
Kiwango chako cha Kiroho kinaendana na unachokiomba kwa Mungu? Jitathmini.
[11/3, 19:15] Humphrey Mrema Arusha JHC ADMIN:
SABABU YA SABA
7⃣ *KUHITAJIKA KWA MAOMBI YA KUFUNGA KUOMBEA JAMBO HILO LAKINI HUKUFUNGA*
Matayo 17:21
. [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Kwa wakati mwingine maombi ya kufunga ni kama KUKATA RUFAA. Hivyo ili upokee baadhi ya majibu ya maombi yako lazima ufunge kwa maombi.
Tafakari hilo!
[11/3, 19:22] Humphrey Mrema Arusha JHC ADMIN: SABABU YA NANE.
8⃣ *KIWANGO CHA NGUVU ZA MUNGU ZINAZOTENDA KAZI NDANI YAKO KUWA NDOGO KULINGANISHA NA JAMBO UNALOLIOMBEA.
Waefeso 3:20
. Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;
Nifanyaje?? Omba Mungu akujaze nguvu zake za kutosha ili azitumie kujibu maombi yako
Kwasababu *"...... kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana akiomba kwa bidii."* Yakobo 5:16
Maombi yako yanaachilia Nguvu inayotenda kazi kufungua vifungo na kujibu maombi.
[11/3, 19:30] Humphrey Mrema Arusha JHC ADMIN:
SABABU YA TISA
9⃣ *KUTOPANGILIA VIZURI MFUMO WA VIPAUMBELE VYAKO KI-MAISHA KAMA. MUNGU ANAVYOTAKA NA UTEKELEZAJI MBOVU WA VIPAUMBELE VYA MUNGU MAISHANI MWAKO.*
Matayo 6:33
. Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
Matayo 6:31
. Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
Je! Una vipaumbele gani vya kimaisha? Ukimweka Mungu kuwa kipaumbele nae ataweka mahitaji yako kuwa kipaumbele.
Wakati mwingine anachelewa kujibu maombi yako kwasababu hujampa kipaumbele ndio sababu.
Tutafakari vyema
[11/3, 19:40] Humphrey Mrema Arusha JHC ADMIN: SABABU YA KUMI
1⃣0⃣ *KUTOMZALIA MUNGU MATUNDA ANAYOTAKA YA KUDUMU.*
Yohana 15:16
. Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni
Matunda haya ni kama
--> _Tunda la Haki_ (Yakobo 3:18)
--> _Tunda la midomo_ (Ebr 13:15)
--> _Tunda la Roho_ (Galatia 5:22,23)
--> _Tunda la kazi_ (Wafilipi 1:22)
--> _Tunda la Toba_ (Mathayo 3:8)
Mzalie Mungu Matunda aone faida yako na kushawishika kukutendea makuu.
πππ
Follow us
*Instagram* joyfulhouseinchrist
*Facebook* Joyful House In Jesus Christ
*Blog* christiansforum1.blogspot.com

π§Or send us Email on
joyfulhouseinchrist@gmail.com
joyfulhouseinchrist@gmail.com
πππΌπΏ
©Nov.2018 Joyful House In Christ
©Nov.2018 Joyful House In Christ
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)